Sunday, December 29, 2019

WAJINGA NYINYI 4 - KENYA I AM A TIRED PUNDA

[Willie Oeba] The sitting president is now sleeping Ah-ah he is sipping Na wenye tulipea kazi ya kutupa solution Ndio wanauliza "Why Kenyans are broke?" Hii swali ni offensive kama kuenda Ukambani Kuuliza when did the rain started hitting us Tell me, what better they are doing if not playing us Back to basics Ma DJ we need to start from the scratch Ni kama watu wazima wanatarget school going kids Mtoto anakuwa mzazi for no apparent reason Na kiongozi wako anaspit fire Anataka kuona blood shed kama ako na blurred vision Justice inaenda na bei ya kuongea na mwananchi ni bubu Walipaint mabus za shule yellow ndio waache legacy Lakini kwa classes rooftop na exam zote zinaleak Nani mwingine unaangalia more better leader than you? Na profile yako ya Whatsapp ni more useful than the current DP Hio pesa ya kisima waliiba and that's the dam truth Sudden death is viewed kama spoiled votes that's the sad truth Hakuna food, shelter ama hata clothing that's the naked truth Mayouth hawana fare ya kwenda job interview Politician we kile inakusumbua ni mafuta ya ndege That's the plane truth Life ain't easy that's the hard truth It's not about sagging, drugs ndo inacreate ma-wasted youth Nchi machef hawawezi afford ile food wanacook Ndo ma-opticians wanalipwa huwezi hata piga look Kill sin to seek God hata utoe tithe aje Ticket ya heaven hainunuliwi myMookh Walimu wanasurvive the hire-purchase Na kuna vitu mob hawawezi hata book Itakuwaje cry za tajiri ni intellectual Na cry za maskini kwa maskio ya Justice ni kelele Itakuwaje unabelieve in me Na nikicheza kimimi unashikwa na kiwewe Itakuwaje unaninyima opportunity ya kupata kazi Lakini kwa club unataka nipewe Itakuwaje unajaribu kugeuka kifo kuseparate mtu na mkewe Hii effect ya nguvu ya thao inafika Mahali nduru ta mnyonge haiwezi fika Ballot box na DSTV zinafika mahali dish haiwezi fika Watoto wanalala njaa juu ulikunywa na pesa ya kula Na vizuri unajua pombe haiwezi lika Wengine wanaenda kanisa Juu wanaogopa wakikufa nani atawazika Wanasiasa pia wanadanganya, si movie peke yake Ni kutricky hata manzi yako ako na manzi yake hauko peke yako Siku hizi ukisaidia rafiki yako pesa yako Unapoteza rafiki yako na pesa yako Wonder why uko heart-broken na ile hoteli Yenye unaenda ukiwa na manzi yako Ukiwa peke yako wewe huwezi jipeleka Unatafuta mapenzi wapi? Na wewe mwenyewe umeshindwa kujipenda Mungu husaidia watu hujisaidia Hakuna chakula, kuna watu hata waamue kwenda msalani Hawawezi kujisaidia Kosa chakula omba mabeste watakunyima Wanunue waende online wakutag Madawa na mabeshte wanashindana kukudrug KPLC wakidhani wamezima stima Hapa ndani kuna wale wako na maplug Watoto wanaomba pesa na vikombe Ukipita late night wao tu ndo wataku-mug Jesus alibetray-iwa na kiss We uko hapo unajichocha juu ulipewa hug Wajinga Nyinyi! [Shanki] Sisi ni wajinga design politicians wameiba doh za gava Ndio hushinda the next elections Just imagine corruptions ndio huwafanya famous Hatukuongea vile Kenneth alinunua wheelbarrow moja na 100k Ona sasa yeye ndiye speaker Mko kwa line mnachomwa na jua Mkichagua politicians walishajichagua Wajinga Nyinyi! Tunasahau haraka, walitudanganya wataseek justice Kwa victims wa dam tragedy ya Solai So sad compensation money ililand at the wrong hands And just like Robert's second name, it was still Alai Ju tulielect watu walibeba Bible Walipledge allegiance to the country Huku hawajui hata verse ya kwanza ya wimbo wa taifa Vitu wanatuambia ni kama jina ya pili ya Tiwa(Savage) Wanaweza fanya ushikwe na kisukari vile wanagrab shamba za miwa Natural resources hazitunzwi, uchafu umejaa kwa ziwa This is toxic na hata ka we si drug user itabidi umedetox na maziwa Hawahitaji vijiko na sahani hii ni mali ya umma inaliwa Hawa watu wanatuona mafala, independent candidate Anakuja kutuomba kura huku amevaa patipati Hii si simplicity, hii ni kama mchezo wa kati Na mwananchi ndie ako katikati Wanajaribu kutupiga from all sides niambie nani ako taabani Hii gava inakula mingi But inaskia uchungu ikiproduce ka mtu amekula guava Serikali iko na mkono mrefu ndio maana mapolisi wanatuhanda Mashinani barabara ni za murram Na mwakilishi wao ako Nairobi anaongea kilami Hakuna mtu wa kutuangalia ilhali mawatchmen hawalali Wasanii wameacha kumake good music wanashindania nani mkali Kuna huge gap kwa social status Wengine wako jangwani wanakufa ju hawana maji Wengine wako kwa club wanakufa juu wako maji Hawa watu wanatuambia wamepea vijana kazi Na vijana hawana kazi, siku hizi wote ni wasanii Bei ya unga imepanda, hatuna industries Gava haisupport wakulima wa mchele So utaexpect aje hii economy i-rise Usijiulize kwanini nimeshika moto? Ni hii stori inaniwasha Hospitalini hatuna madawa na tuko na katiba Country unaeza amka ukiskia njaa na ulilala kifudifudi Mwanamke unajidai uko on diet na kazi yako ni kukula fare Hatuna role models Mnalalamika vijana wanatumia mihadarati Na mheshimiwa mwenyewe projects zake zinadrug Mwananchi anavaa matambara Na wao wanaongeza magari ndo wabrag Unachukia jirani yako juu Mr Politician alisema Bado hujui si sote tuko na common enemy Utacomplain aje leader wako ni corrupt Na pia wewe alishaku-bribe na noti za fifty County imeshindwa kulipa deni ya China Inaweka youth ako na deni ya Tala na Mshwari CRB So ironic mahali unatoka kiongozi mzembe ndo anasimamia CBD Issue zinaaffect common mwananchi zikiongelewa kwa parliament Ndio utajua kuna serikali na opposition Lakini ikifika kwa issue ya wao kuongezwa mishahara Wote huwa on the same side Wajinga Nyinyi [Evansquez] Unaweza kuwa na verses tofauti but shida ni vina Kwa hii industry kunaweza kuwa na artist wakali tofauti But shida ni jina Si ata maji marefu huwa tofauti but shida ni kina Election si ya mtu mmoja ni ya watu tofauti Solidarity ndio iwepo lazima kuwe na akina Sawa acha niwaelezee mambo kwa kina Kuna history heartfelt ya Robert Ouko na Tom Mboya But there is nothing to celebrate about Chi and Goya Goya Tumewanyamazia for long wanaona si ni maboya boya Huu ujumbe ni wenu this message is for yah, for yah Turkana ni kama an empty closet haina nguo but ina hanger Waliacha kuconfirm kama employed teachers wako qualified Siku hizi wanaconcentrate na projects za kujenga madaraja Ndio incase student asipo-perform anaweza fanya bridging Unajua kwanini tunashindwa kwa most terror attacks? Ni ju magaidi wakona majeshi wengi yet saliva zetu zikona amylase Ukiuliza politician wao huiba mara ngapi watakuambia all the time Ni kama wameambiwa wapeane feedback ya God is good What makes the loudest noise ni an empty debe Walirealize tukiwapigia tutanotice how foolish they are Thats why siku za campaign wao huamua kujipigia debe Yes job ziko nyingi but the question is 'Where' Hii dunia huwezi jiinua pekee yako ata basement ya pyramid ni square Magwiji wa hesabu wanajua hii life inataka maujanja That’s why apart from bearings na logarithms pia kuna matricks There is no difference between us When we were young and our economy coz we were all raised Maleaders wapo wengi na pia kupata a good one si shida But God tupe sign kama mwisilamu mwenye anapray hard Hadi kwa foid yake kuna sijida Tumejibeba ndogo yet tuna uwezo ya kuhandle vitu heavy Mwanasiasa anaiba billions of money Anaenda chini ya maji na hatafutwi Yet kuna Kenya Navy Wanapelekwa kotini lakini kutoa fine ndio wamengoja ju pesa anazo Yet kuna mwananchi anauza vitu akiwa roho juu Coz kanjo wanamkula mawazo Naweza rap kuhusu Kenya Ferry Niwambie vile services zao ni mbaya Na juu nitabonga kuwahusu Nichange hadi jina nijiite Ferry Wap Huku kama hutakufa njaa utakufa na aflotoxin Mahali natoka, street children hubebwa usiku na lorry Na wanaenda kutupwa forest ya Baringo It is high time watu waanze kujua Difference ya courage na maringo Na artists should stick to their lane Ju wakijoin politics they become what they sing about Ona sasa, Jaguar amekaa tu starehe Ata kama mtasema ilikuwa for publicity Akothee ali-give a hand huko Turkana So ako better off kushinda msee ulichagua Better off kushinda hao watu Hupeana bursaries wakibagua Bado ata sijaongelea kuhusu public school yenye ilicollapse Niko hope Wataacha kuwa ignorant Na wataishughulikia perhaps Bado wanatushauri tuvote na visanga vyote tumejionea dhahiri Siku yenye Mr. President atainua maisha ya hata poet mmoja Ndio nitaamini kuna Uhuru wa mshahiri Wajinga Nyinyi!

Read more at: https://afrikalyrics.com/willie-oeba-wajinga-nyinyi-part-4-lyricshttps://youtu.be/daijq5bmQ3Y

No comments:

Post a Comment